Quantcast
Channel: Wavuti Updates
Browsing all 19360 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa Wizara ya Ardhi wapandishwa kizimbani Kisutu leo

Maafisa watatu waandamizi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi  leo wameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za ufujaji wa pesa za serikali zaidi ya milioni 200. Watuhumiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA wateta na wadau wa soka Tanzania

Muhidin Ndolanga na Jamal Malinzi wakiteta Ndolanga, Pelegrinius Rutayuga (mjumbe wa TFF Kagera), Dunstan Mkundi (Mjumbe wa TFF Lindi), Michael Wambura na Juma Matandika. ...click the title/link to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto 20 wa chekechea wanusurika ajalini

Imeandikwa na Francis Godwin, Iringa: WANAFUNZI  zaidi ya ishirini wenye umri wa kati ya miaka 7 - 9 wa shule  ya  kimataifa ya St Charles iliyopo Don Bosco katika Manispaa ya Iringa  wamenusurika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

[audio] Taarifa za habari: Kauli zinazofanana na hizi ndizo Spika kasema...

Ni lugha kama hizi zimesababisha nimekosa hamu kabisa ya kusikiliza vikao vya Bunge. Siwezi kuivumilia hii lugha. Ni sehemu ambayo nilipaswa kuwa nasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wanne wafukuzwa “kwa utovu wa nidhamu”

Chama tawala nchini Uganda cha National Resisitance Movement-NRM- kimewafukuza baadhi ya wanachama wake wanne, wote wakiwa ni wabunge, kwa kile kilichoitwa utovu wa nidhamu. Mbunge mwingine yeye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kishindo cha Skylight Band chazidi kutikisa jiji la Dar kwa burudani

Joniko Flower na akisindikizwa na Sam Mapenzi pamoja na Sony Masamba kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band katika kiwanja chao cha Nyumbani cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kuanzia wiki hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya Silaa afungua bonanza la Stakishari Veterans FC kwa ufundi wa kupiga penati

Mgeni rasmi Mhe. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akizungumza wananchi pamoja na washiriki wakati wa bonanza la timu ya Stakishari Veterans FC kutimiza miaka 5 ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Bilal afungua rasmi mkutano wa pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayansi...

Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali akifungua rasmi Mkutano wa Pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika ulioandalia na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya Silaa azindua kambi ya Starkey inayotoa bure huduma kwa wenye ulemavu wa...

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh .Jerry Silaa jana tarehe 16 Aprili 2013 alizindua kambi ya Starkey ya kusaidia wananchi wenye matatizo ya kusikia iliyofanyika katika shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue akutana na Bakari, Balozi wa Oman-Tanzania

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ilani: Taarifa zinazosambaa kuhusu mishahsara ya Walimu SIYO za kweli

...click the title/link to read more.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sinema za Tanzania bana! Washirika wa Ludovick wabainika, Teknolojia yafichua...

picha ya gazeti via MillardAyo.com MTANDAO wa watu wanaodhaniwa kuwa washirika wa karibu wa mtuhumiwa wa kupanga njama za kutekeleza ugaidi, Joseph Ludovick, umeanza kufichuka. Taarifa za kufichuka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WaBaha’i  Ulimwenguni kote washeherekea Sikukuu ya Ridvan

BARAZA LA KIROHO LA WABAHA’I WA DAR ES SALAAM     S.L.P. Na.585, Dar es Salaam, e-mail: royqudsi@gmail.com     WaBaha’i duniani kote wanasheherekea Sikukuu ya Ridvan, Sikukuu ambayo ni takatifu kuliko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shell shut out as Africa’s gas trove lures Asian States

Asian state-owned oil companies are making inroads in the contest for East Africa’s energy reserves, gaining power in export projects that Western explorers like Royal Dutch Shell Plc (RDSA) used to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Msomali anayeishi Uingereza lakini apelekwe Tanzania (?)

Raul Ally a teenager who moved to Newcastle six years ago with his mum when he was 12, fleeing war-torn Somalia following the death of his dad in a political protest, fears he could be deported to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gold slump: Tanzania concerned may threaten mines in country to shut

Cross-posting this article from bloomberg.com A sustained slump in gold prices threatens to shut mines and curb investment in Tanzania, Africa’s fourth-largest producer of the metal, a senior official...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete: Nchi za kiafrika zinahitaji misaada na fursa za biashara, vinakwenda...

Nchi za kiafrika zinahitaji misaada na fursa za biashara kwa pamoja kwani misaada na biashara vinakwenda sambamba. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jana mchana wakati wa mazungumzo na Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

[audio] Mbunge anapoteleza na kudondosha “the F bomb” Bungeni

Bofya kifute cha pleya iliyopachikwa hapo umsikilize Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba Huna adabu kabisa @serukamba nini hii soundcloud.com/newsaddict/ser… rudi TANROADS. Mxii— ichacadabra...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tangazo la Halmashauri ya Wilaya Kibaha: Uuzwaji wa viwanja Msufini, Mlandizi

...click the title/link to read more.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Prof. Kahigi ya Bajeti 2012/13 na Makadirio Utumishi 2013/14

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MH. PROF. KULIKOYELA KANALWANDA KAHIGI (MB) KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2012/2013 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA...

View Article
Browsing all 19360 articles
Browse latest View live