picha ya gazeti via MillardAyo.com MTANDAO wa watu wanaodhaniwa kuwa washirika wa karibu wa mtuhumiwa wa kupanga njama za kutekeleza ugaidi, Joseph Ludovick, umeanza kufichuka.
Taarifa za kufichuka kwa mtandao huo, zimekuja zikiwa zimepita siku tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza orodha ya majina ya watu...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.