Quantcast
Channel: Wavuti Updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19360

Kishindo cha Skylight Band chazidi kutikisa jiji la Dar kwa burudani

$
0
0
Joniko Flower na akisindikizwa na Sam Mapenzi pamoja na Sony Masamba kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band katika kiwanja chao cha Nyumbani cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kuanzia wiki hii watakuwa wakipiga show mara mbili Ijumaa ndani ya Thai Village na Jumapili watakuwa katika Kiota cha Escape 11 endelea kuperuzi mitandao tutakujuza...

...click the title/link to read more.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19360

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>