Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh .Jerry Silaa jana tarehe 16 Aprili 2013 alizindua kambi ya Starkey ya kusaidia wananchi wenye matatizo ya kusikia iliyofanyika katika shule ya watoto wenye ulemavu wa kusikia (Buguruni viziwi), ambapo wenye magonjwa watatibiwa na wenye kuhitaji vifaa vya kuongezea usikivu watatengenezewa...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.