Angellah Kairuki, Wajumbe wajifunza Bangladesh ilivyosajli asilimia 95 Vizazi...
Mhe. Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake wa wataalam kutoka Taasisi za RITA, NIDA, TRA, Serikali za Mitaa, e-Government, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Ofisi ya Takwimu, Ofisi ya...
View ArticleInternational African Festival Tübingen, Germany 2013 – Outdoor & FREE entry
Welcome to ! International African Festival Tübingen, Germany 2013 Be part of 100.000 visitors at the largest Extravanganza! African Pilgrimage to Tübingen, Germany 2013 – outdoor & Entry Free...
View ArticleYaliyonikuta siku ya Jumamosi - Maggid Mjwengwa
Ndugu zangu, Kwanza kabisa niwashukuru kwa dhati kabisa nyote mlionitumia salaam za kunifariji kwa njia za simu, email, facebook, majukwaa ya Mabadiliko, Wanabidii na JF. Nimefarijika sana kutambua...
View ArticleSpeech by Pres. Yoweri Museveni during inauguration of Uhuru Kenyatta
It was the disclaimer heard across Kenya and by extension the world from one Yoweri Museveni who had some strong words to Western states and the International Criminal Court. The Ugandan President,...
View ArticleTanzania: Kupeleka askari DRC/ Sending troops to DR Congo soon despite rebel...
UN -- Harakati za maandalizi ya brigedi ya kusaidia ulinzi huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC zinaendelea ambapo nchi husika zinakamilisha shughuli hiyo miongoni mwao ni Tanzania kama...
View Article[audio] Taarifa za habari - WAPO, ZBC, TBC, Radio One Stereo
Viongozi wa Jukwaa la Katiba wametishiwa maisha na watu wasiojulikana ambao walifika katika ofisi za Jukwaa hilo wakiwa katika gari na kuwaulizia Deus Kibamba na Diana Kidale, ikiwa ni siku chache tu...
View Article[raw video] Boston Marathon Explosion; Statement by Pres. Obama
President Obama makes a statement from the briefing room about the explosions at today's Boston Marathon. April 15, 2013. ...click the title/link to read more.
View Article[raw video] Boston Marathon Explosions; Statement by Pres. Obama; Hotline...
photo: Business Insider At least three people were killed and at least 140 others were injured in the afternoon of April 15, 2013 in Boston when two “powerful explosions” detonated in quick succession...
View Article[video] Yaliyojiri mahakamani kuhusiana na kesi ya Lwakatare, Ludovick
Mawakili wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilfred Lwakatare anayekabiliwa na mashitaka ya ugaidi, wameiomba Mahakama Kuu kanda ya Dar es...
View ArticleDawa za MSD kuwekewa alama maalumu
Ili kuondoa malalamiko yanayotupwa Serikalini kutokana na vitendo vya baadhi ya watumishi wasio waaminifu, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani amesema Serikali sasa imeamua...
View ArticleDar es Salaam: Moto waunguza sehemu ya jengo la NHC
Saa chache zilizopita ulizuka moto katika jengo la nyumba ya NHC, lililoko usoni na Al Maksoor karibu na mzunguko (round about) wa Mnara wa Saa (Clock Tower) kwenye barabara ya Uhuru. Kwa mujibuwa...
View ArticleAprili 22: Rufaa ya kupinga mahakama kumrudishia ubunge wa Lema
Mapitio ya Rufaa yaliyowasilishwa na makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel, katika Mahakama ya Rufaa kupinga ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA),...
View ArticleUS Time Is Now Campaign: Pongezi kwa jitihada za Abou Shatry @SwahiliVilla blog
SwahiliVilla Chief Blogger - Abou Shatry "Ebou" Napenda kutoa shurkani kwa ndugu yetu Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry kwa kazi nzuri anayofanya kwa kuwakilisha jina la Tanzania katika kuhoji...
View ArticleTCRA yasema jukumu la kuwadhibiti wanaotumia simu vibaya ni la Polisi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema Jeshi la Polisi nchini ndilo lenye mamlaka ya kuwakamata watu wanaohusika kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms), kwenye simu zenye uchochezi au utapeli...
View Articleteh! StaaTaims kuburuzwa kortini kuwalipia wateja wake gharama za tiba
...click the title/link to read more.
View ArticleNi kosa la jinai kutoa taarifa za siri za mawasiliano kielektroniki
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Yah: KUTOA TAARIFA ZA SIRI KATIKA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI Jana na leo, Serikali imeona kuzuka kwa tabia ya uvunjaji wa kanuni ya utunzaji wa siri za...
View ArticleKasoro za mchakato wa upatikanaji wa wajumbe wa Mabaraza ya Katiba
Katibu wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na maendeleo, Badi Darusi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Na Mwandishi wa TheHabari WASHIRIKI wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na...
View ArticlePresident Uhuru Kenyatta and His Deputy William Ruto goofing around
Published in YouTube on Apr 11, 2013, is an exclusive clip of President Uhuru Kenyatta and his Deputy William Ruto having some bonding moments at the shoot of campaign commercials. Great clip, funny...
View ArticleJob opportunity: Programme assistant @ DFID Tanzania
DFID Tanzania is seeking to appoint a Programme assistant to provide administrative support to our Results and Aid Effectiveness Team. The Programme assistant role is exciting and a challenging...
View Article