Mawakili wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilfred Lwakatare anayekabiliwa na mashitaka ya ugaidi, wameiomba Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, kufuta mashitaka yote yanayomkabili kwa madai kuwa Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali (DDP) amefungua kesi visivyo.
Tundu Lissu,...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.