Mapitio ya Rufaa yaliyowasilishwa na makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel, katika Mahakama ya Rufaa kupinga ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema yanatarajiwa kuanza kusikilizwa Aprili 22, mwaka huu.
Kesi hiyo namba 21/2013 ilikatiwa rufaa na makada hao wa CCM Februari 13,...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.