Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia Watahiniwa wote wa Kujitegemea wanaotarajia kufanya Mtihani wa Maarifa (QT) na Kidato cha Nne (CSEE) Mwezi Novemba 2013 kwamba Usajili utafungwa rasmi tarehe 30/4/2013.
Baraza la Mitihani linasisitiza kuwa hakuna mtahiniwa atakayesajiliwa baada ya tarehe 30/4/2013. Hivyo...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.