Katika ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameandika:
Mishahara ya Watumishi wa Umma imeongezewa Bajeti yake kwa jumla ya tshs 1 trilioni.
Hivi sasa Bajeti ya Mishahara (wages and salaries) ni wastani wa tshs 320 bilioni kwa mwezi, nyongeza hii inapelekea Bajeti hii kufikia tshs 403 Bilioni kwa Mwezi. Hivyo...
...click the title/link to read more.
...click the title/link to read more.