Simba mwendapole = Huyo ni Sharobaro.
Asiyefunzwa na Mamae = Ujue Mama hajapitia Ualimu.
Zimwi likujualo = Lilikuona sehemu.
Chelewa chelewa = Ukizikusanya utapata ufagio.
Hakuna masika = Wakati...
.
.